Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aiseeh!pole ungejaribu kulala tena maana nakuonea hurumaNimeamka shemeji. Kuna katabia kameanza ikifika saa 9 usiku usingizi unakata. Uwe na Ijumaa njema!!!
Kwema kabisa namshukuru Mungu.Nilale? Na ofisi nimwachie nani? Kwema lakini? It's Friday wuhuuuuuu !!!
Shemejiiii !!!Napenda twins,Mungu anipe seti moja tu yaani[emoji23][emoji23][emoji23]
Abeee[emoji85] [emoji85]Shemejiiii !!!
Una bahati kuwa na baba mtu wa Mwanza !!!Nimemwambia baba narudi chuo mapema kujiandaa na mitihani ya SUP eti anauliza SUP ndio nini?
Nimemjibu
"SPECIAL UNIVERSITY PEOPLE "
Naona ameniongeza hela na hongera juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baba angu mtu wa Mwanza[emoji23]