mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good afternoonGOOD MORNING
Habari za mida hii mkuuMorning
[emoji106]Morning
Na makucha yakeKumekucha
OKYa sms kwenye my profile
Mkuu habari ya leoNaaaam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena akupe wanne kwa mpigoNapenda twins,Mungu anipe seti moja tu yaani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya biblia MITHALI 28:1 (waovu hukimbia hata wasipokimbizwa nikaamua kurudi kulala.
Ninayaelewa sana maandiko niko deep kiroho.!!! Za asubuhi
Jibu mubashara my princessNimeshapata wa kufanya naye matusi,halafu sitafuti
Ijumaa Kareem[emoji137] [emoji137] [emoji137] wiii
Naona kuna mtu anatafuta kiki humu kwenye uzi wetu
Pole my little birdBaby huyo mjinga alitaka kunitoa kwenye mstari
Wikiendi mapema imeanza[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]Ukizingatia na leo ni ijumaa acha kabisa[emoji23][emoji23]