Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Bloke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji53] supu ya konokono hapana aiseeWacha nimwambie mzee wa buyenze akuleteee supu ya konokono[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama ni hivi tuanzishe kanisa aisee we uhubiri mi mweka hazina !!!Nimeamka alfajiri nifanye jogging kidogo nikakumbuka maandiko ya biblia MITHALI 28:1 (waovu hukimbia hata wasipokimbizwa nikaamua kurudi kulala.
Ninayaelewa sana maandiko niko deep kiroho.!!! Za asubuhi
12:4010:10
"konokono"na hivi leo ni ijumaa unamla kwa nafasi hadi jumapili,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimpelekee supu au yeye ndo aniletee "konokono" laivu? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji117][emoji117][emoji117]Alishasema hawapendi konokono hata kuwaona tu hataki. Usimchokoze bebi wangu jamani. Yeeeuwiii wallahi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama kabisa,japo masaa kama hayaendi vile na hivi ni ijumaa daah!I am damn fine my little bird how is work?
COLEWORLDLOVESYOU
Lunch timeLikes za mchana
Lunch time na likesLikes za mchana
Hivi siku hizi ni fashion kupiga picha kipindi cha ujauzito eeh?
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
EnnheHivi siku hizi ni fashion kupiga picha kipindi cha ujauzito eeh?