Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-20-10-01-14.png
 
Kupalilia mashamba,kupanda na mbegu,[emoji222] [emoji222] [emoji222] kwa nafasi
Dah!leo hii akili sijui yawaza nini[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kupanda mbegu...kwenye vitalu vya mpunga. Maji mpaka magotini na tope la kufa mtu. Mwinamo mpaka migongo inauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akili za Ijumaa hizi zina shida....
 
Wanasema aliuawa na boyfriend wake (japo walishindwa kuthibitisha). Alikutwa kwenye bath tub (kama mamake) akiwa face down. Wakafanikiwa kumrudishia fahamu ila alikuwa amekaa muda mrefu bila kupumua akawa amepata massive brain damage; na akawa kwenye vegetative state. Kwenye system kulikuwa na pombe kali na traces za unga. Ni story ya huzuni all around....
Du drugs hatari sana
 
Back
Top Bottom