Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walitoa wito kwa jamii kurudi katika kula vyakula vya asili na kuachana na vyakula visivyo na tija katika mwili wa binadamu. “Wazazi wanaaswa kuwandalia watoto wao uji wa ulezi asubuhi na mapema kabla hawajatoka kwenda shuleni ili kuweza kufungua akili ya mtoto na kuwajengea uwezo mkubwa wa kufikiri,”alisema Nyampiga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimpelekee supu au yeye ndo aniletee "konokono" laivu? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

[emoji117][emoji117][emoji117]Alishasema hawapendi konokono hata kuwaona tu hataki. Usimchokoze bebi wangu jamani. Yeeeuwiii wallahi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha
 
[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
4804d144ae9e3e204aebf72ea0190a7b.jpg
Shawishi
 
Kupanda mbegu...kwenye vitalu vya mpunga. Maji mpaka magotini na tope la kufa mtu. Mwinamo mpaka migongo inauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akili za Ijumaa hizi zina shida....
Akili zinawaza majibapa ya wikiendi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom