mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nitarudi tena kugonga likes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupanda mbegu...kwenye vitalu vya mpunga. Maji mpaka magotini na tope la kufa mtu. Mwinamo mpaka migongo inauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili za Ijumaa hizi zina shida....
Ndio nawapenda ila wa4 kulea ni changamoto ujue,atleast watatu sio mbayaSi anapenda mapacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maendeleo
[emoji106][emoji106][emoji106]Matibabu ya kukua kwa matiti ni pamoja na kutibu ugonjwa au shida ya awali, mfano kuacha dawa husika, kutibu saratani na kadhalika. Iwapo uchunguzi wa kina umefanyika na kuonyesha matiti yamekuwa yenyewe bila kuwepo kwa ugonjwa wowote, basi matibabu mazuri na halisi kundoa ukubwa wa matiti ni kufanyiwa upasuaji wa matiti