Mkuu habari,Wakuu habari.
Mkuu ulipotea kwa mudaNilikuwa nje ya mtandao
Oooh mkuu, kwema hukoNilikuwa nchi jirani
AsanteHeshima kwenu wote
Utulivu pia upoAmani
Miili yetu hii nayo. Vikorokocho vingi mno na kila kimoja lazima kifanye kazi sawa sawa. Kuna jamaa alikuwa anahoji uumbaji eti "kulikuwa na ulazima wa sisi kuwa so complicated?"
AminMungu atujaalie afya
AminAtujaalie umoja wetu