Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama maji bado yamebaki, na mtama umeiva yaondoe kwa chujio.
4. Changanya juisi ya limau, mafuta ya kupikia, chumvi iliyobaki na pilipili katika chombo chenye mfuniko. Tikisa sana hadi vichanganyike. Changanya katika mtama wako wa moto uliopika na geuza kwa kurusha rusha hadi vichanganyike. Weka chombo kwenye moto kiasi na juu funikia kwa moto kiasi. Acha iivie kwa dakika 5.
5. Katakata kitunguu, pilipili hoho na itumike kulia kande zako kama kachumbari