Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kande za mtama
Kama ilivyo kwa pilau ya mtama, kande za mtama zinaweza kupikwa na kuliwa na mtu yeyote hasa wagonjwa wa kisukari. Kande zinaweza kuliwa na familia au wakati wa sherehe. Mapishi yake ni rahisi kama ilivyoonyeshwa hapo chini.
 
Mahitaji:
· Kikombe kimoja cha mtama uliokobolewa na kuoshwa
· Vikombe 3 vya maji
· Kijiko cha chumvi (kutegemeana na kiasi cha kande)
· ¼ kikombe cha juisi ya limau
· Vijiko 2 vya mafuta ya kupikia yaliyochemshwa na kuiva
 
Moja ya nane ya kijiko cha pilipili manga iliyosagwa
· Tango moja lililokomaa lililokatwakatwa vipande vidogo
· Vitunguu vitatu vya kijani
· Pilipili hoho nyekundu 1
· pasle iliyokatwakatwa
· Chizi kidogo iliyopondwa pondwa ( kama ipo)
 
Jinsi ya kupika
1. Weka mtama maji na nusu kijiko cha chumvi katika sufuria na anza kupika huku ukikoroga
2. Pika hadi ianze kuchemka. Funikia na punguza moto ili iive taratibu kwa dakika 30 – 40 au hadi maji yakaukie na mtama umelainika.
 
Back
Top Bottom