Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtama una madini aina ya chuma na chokaa kwa wingi kuliko mahindi au nafaka nyingine. Una protini kwa wingi kuliko mahindi, mchele au ngano. Mafuta yake hayana rehamu, Una vitamin B complex, vitamin C na vitamin E kwa wingi. Mtama una madini ya zinc, phosphorus, potassium, na manganese kwa wingi kuliko nafaka nyingine.
 
Mtama una vimelea viitwavyo phenolica mbavyo ni mhimu sana kwa mwili kujikinga na saratani, Mtama hauna gluten hivyo ni salama kutumiwa na watu wenye matatizo au ugonjwa wa Celiac.
 
Mtama ni nafaka nzuri sana katika kutengeneza unga wa lishe. Majaribio yameonyesha kuwa unga wa mtama ukitumika kutengeneza vyakula vya kulikiza unatoa chakula laini ambacho pia kitoa ladha nzuri sana.
 
Pilau ya mtama inaweza kutumika badala ya pilau ya mchele. Pilau hii inaweza kuliwa na wagonjwa au hata watu wazima, wakubwa na watoto bila shida yeyote. Inaweza kuliwa nyumbani au hata wakati wa sherehe. Mapishi yake yanaweza kuwa kama ilivyoonyeshwa hapo chini au ikapikwa kwa kutumia njia ya kawaida ya kupika pilau ya mchele kwa kutumia viungo vile ulivyovizoea. Katika upishi huu mpya mahitaji yake ni kama ilivyoonyeshwa hapo chini.
 
Mahitaji:
· Kikombe kimoja cha mtama uliokobolewa
· Kijiko kimoja cha mafuta ya kupikia
· Vikombe vitatu vya mchuzi wa kuku
· Kijiko kimoja cha vitunguu cha vitunguu vilivyokatwakatwa na kukaushwa
· Nusu kijiko cha majani ya viungo
 
Moja ya nane ya kijiko cha pilipili manga iliyosagwa
· Robo kikmbe cha matunda yaliyokaushwa
· Vijiko viwili vya giligilani mbichi
· Chumvi kiasi
· Robo kikombe cha korosho
· Majani freshi ya pasle
 
Jinsi ya kupika
1. Safisha mtama katika maji safi na mwaga maji yote uliyosafishia
2.Bandika sufuria la wastani jikoni na kwa kutumia moto kiasi wa wastani katika jiko, weka mafuta ya kupikia ndani ya sufuria na yakisha pata joto weak mtama uliooshwa na koroga taratibu kwa dakika 2 -3 hadi rangi ya mtama ibadilike na kuwa brauni ya mbali.
 
Back
Top Bottom