carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] katibu mkuu wa Chawamita Nakupenda sana ila iyo supu kunywa mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku ipo inaendelea vyema...
Nipo kwenye restaurant ya Wachina inayo-specialize kwenye exotic foods.
Nataka kujikumbushia supu ya minyoo.
Nikuletee take out ama uje ujaribu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wacha wee,hongera[emoji23][emoji23]
Supu ya nini?[emoji44][emoji44][emoji44]
Siku ipo inaendelea vyema...
Nipo kwenye restaurant ya Wachina inayo-specialize kwenye exotic foods.
Nataka kujikumbushia supu ya minyoo.
Nikuletee take out uje ujaribu?
Safi, mambo vipi mkuuWakuu habar
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] katibu mkuu wa Chawamita Nakupenda sana ila iyo supu kunywa mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babe buana dayati kidogo sio kiviileeDayatini?
Ili iweje?
Bae wako katibu wa CHAWAMITA we unakwenda dayatini?
Pardon me..!!Kumradhi[emoji818]
Kumladhi mi siijui. Nakukaribisha tuu mkuu[emoji5]
Baby Asanteee, labda ujilete mwenyewe tuu... Unatosha[emoji6]Duh !!!
Vipi mishikaki ya nyoka?
Supu ya nini?[emoji44][emoji44][emoji44]
Swafi kwema mkuuSafi, mambo vipi mkuu
SIMULIZI, NDEGE WA AJABU