Utaongea tu siku si nyingiSubiri na mimi nianze kuongea kimakonde[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema mkuuHodi... Ni kwema humu ndani?
AMUN RA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uzi huu yaani hata uwe na huzuni gani utacheka tu. Asanteni sana wapendwa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Huu uzi nilishawahi kusema ni faraja tosha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uzi huu yaani hata uwe na huzuni gani utacheka tu. Asanteni sana wapendwa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] no commentHalafu kakimbia sijui ndo kanuna[emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari mkuu. Wewe ni Katibu Mkuu wa CHAWAMITA kuanzia sasa. Ndiyo vyeo vya hapa vinavyopatikana. Case closed. Usiagyu pulizi [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]Kivipi tena, uongozi baki nao na kamati yako[emoji3] [emoji3]
Unavyojua kujifaragua sasa[emoji23][emoji23][emoji23]hauna mpinzaniYani ingekuwa ni whatsapp ningempiga picha nikutumie. Yupo kalala kwenye kochi
Kizungu siingii hilo darasa. Maana naweza anza kuona vibibi na vibabu vya kwenye Care , UKTunasoma kiswahili humu na kesho kizungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PoaMoud nitag
HeeHee hata kanisa bado hatujaanzisha unajuzulu jamanTayari mkuu. Wewe ni Katibu Mkuu wa CHAWAMITA kuanzia sasa. Ndiyo vyeo vya hapa vinavyopatikana. Case closed. Usiagyu pulizi [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Me nawaangalia tuHalafu anamuulizia Jakitoo tomorrow wapi ili iweje? Au wana mtoko walikuwa wamepanga? Ishhhhhhh !!!
Unamchosha tu dadangu na mahari hujalipa. Aaaargh !!!Yani ingekuwa ni whatsapp ningempiga picha nikutumie. Yupo kalala kwenye kochi
Kweli kabisa, jana nilikutana na issue ikaniumiza moyo. Ila nimeingia humu ninaamani sana huku ninakicheko mdomoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Uzi huu yaani hata uwe na huzuni gani utacheka tu. Asanteni sana wapendwa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Muache my Antonio [emoji23] [emoji23] [emoji23]Au umeanza kupata kama alibakari