Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
FAIDA YA KABEJI KIAFYA
1. Ina kiwango kingi cha ANT-OXIDANT (Viondoa sumu mwilini)
Mwili wa binadamu unapokuwa unazalisha nishati ya mwili kutengeneza sumu ambazo ni mabaki ya hewa ya oxygen zinapo ungana zinaitwa Free radicals. Na endapo hizi Free radicals zikiachwa katika mwili wako huanza kuangamiza seli za huweza kuzibadili seli hata kuwa kansa. Na mwili huwa unaviondoa sumu vyake makini lakini pale panapotokea pamekuwa na uzalishaji wa free radicals nyingi sana mwili unalemewa unahitaji msaada.