Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wamenikamata haswa. Mke wanipe wao na kiswahili wanirekebishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wamenikamata haswa. Mke wanipe wao na kiswahili wanirekebishe
Kwamba unatumia ID ya babe S ama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hi Carba
Unajua siku hizi sijielewi hata mimi nipo nipo tu pimbi kama kichaa[emoji6] [emoji6] .We unazingua sana siku hizi[emoji19][emoji19]
Love naomba ulale.Hi Carba
Tukafanyie kazi ule ushauri wa Moudgulf.Shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23]me nishasema
Niaje lakini mkuuJua lipo South lazima North kuwe na giza
Msalimie sana babe s mwambie aje kwa kaka yake kuna zawadi zakeYani ingekuwa ni whatsapp ningempiga picha nikutumie. Yupo kalala kwenye kochi
Yaani upepo ukiwa mkali naweka mawe kwenye pochi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe ni kimbaumbau[emoji13]
Sawa uniq ulale salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba niingie humu kesho ninechoka leo.