Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Alishafuta hiyo tattoo baada ya mapenzi kufikia ukomo?Shishi beibe
Alishafuta hiyo tattoo baada ya mapenzi kufikia ukomo?Shishi beibe
Siku nyingi sanaAlishafuta hiyo tattoo baada ya mapenzi kufikia ukomo?
Shishi beibe
Yegoooo! Wabeja nkoyi. Lalaga na mhola ya ng'wa Seba [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwema,narudi kulala tena[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Nilikuja kukutakia usiku mwema
Yego unanishangaza aisee. Kweli unaijua lugha ya kimataifa. Mpaka na misemo juu. Mtoto wa Dar ulijifunzia wapi lugha hizi? Kuna watoto wa Mzee mmoja wa huko Nansio wamekulia Dar hata salamu za Kikerewe hawawezi. Wewe ilikuwaje? Mshua alikuwa mdau wa mila na utamaduni ama?Wabheja kutogwa, bhojiko ng’waka!
Asante shemeji. Niko mahala leo sidhani kama nitalala....Malizia usingizi wako salama na kesho ukawe na siku njema !!!Kwema,narudi kulala tena[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Nilikuja kukutakia usiku mwema
Yego unanishangaza aisee. Kweli unaijua lugha ya kimataifa. Mpaka na misemo juu. Mtoto wa Dar ulijifunzia wapi lugha hizi? Kuna watoto wa Mzee mmoja wa huko Nansio wamekulia Dar hata salamu za Kikerewe hawawezi. Wewe ilikuwaje? Mshua alikuwa mdau wa mila na utamaduni ama?
Full mzuka man u anapigwa huku
Leo man u tumeamua kuona hv mkifungwa hua mnajisikiaje
Numbisa mmepigwa? Poleni !!!
Shukran ila mpira bado haujaisha
ManU wako hoi mpaka sasa..
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji124] [emoji124]Poleni sana man u that football