Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB-Brandy-1-Gallery-Template.jpg
 
Mwaka 2018 NOKIA Wataboresha kwakuweka lugha ya kisukuma kwenye sim na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:-

Phonebook
SHITABHO SHA SIMU

Names
MINA

Time
MAKANZA

Ringtone
LUPUNDU

Setting
MABEGEJO

Call
KWITANA

Missed call
NG'WITANO NJIMEJI

Received call
NG'WITANO MBOKELWA

Dialled call
NG'WITANO NTULWA

Game
LIGUSHA

Menu
AYOGALIMO

Vibration
NZUGUMO. !!

FURAHIA ULIMWENGU MPYA WA DIGITAL. Wasukuma oyeeeeee!!. watumie wasukuma unaowajuaaa

Aleyo lolo gashi abhasukuma batopandikile gete abhanyana bhenabha! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
*serikali ingetangaza kila mtu amsajili mpenzi wake alienae ingekua kimbembe kwani computer ingetoa majibu kama haya NDUGU MTEJA SAMAHANI MPENZI UNAYEMSAJILI AMEKWISHA SAJILIWA NA MTU MWINGINE TAFADHALI JARIBU MPENZI MWINGNE*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natoka kdg ntarud[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
*Maturity is not when you exit a group because people are discussing nonsense in it. Maturity is when you introduce tangible topics of discussion and engage members.* *Those who pretend to be mature by exiting groups later live lonely lives wishing to be added. This decision is usually triggered by Inferiority complex and the desire to feel wanted and missed.*
*That is not a solution. Be active like the rest and embrace diversity. A group must contain the funny, the holy, the soccer pundits, stupid, the intellectuals, the rich and the joyriders*
*Just learn to coexist among your peers.*
 
*Hadithi hadithi...*
Siku moja sisimizi alimtongoza tembo. Tembo akamhurumia sisimizi akamwambia, "jamani huoni size yako? Huwezi kitu". Sisimizi akasisitiza, mpaka tembo alipomkubali. Sisimizi ilibidi asafiri siku nzima kutoka kwenye kichwa cha tembo hadi eneo la mkia ambapo angeanza kazi. Sisimizi alianza kufanya mapenzi. Tembo kwa kawaida yake huwa wakati wote hupigapiga masikio. Basi kila tembo anapopigapiga masikio yake, sisimizi alimtuliza akisema, "pole mpenzi, nimekuumiza?"
 
Back
Top Bottom