Suala la Afya bora ni suala la muhimu sana katika Maisha ya kila mmoja wetu na taifa kwa ujumla. Bila afya hakuna furaha,amani wa shughuli yoyote ile ya maendeleo.
Afya ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku.Siku hizi si ajabu sana kusikia au hata kushuhudia watu wengi wakisumbuliwa na matatizo mengi sana ya kiafya, suala hili linachangiwa na mambo mengi hali ya mazingira au tabia za watu.
Upuziaji wa matumizi ya matunda na mboga mboga unachangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya mengi ya kiafya. Matunda ni moja ya zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu binadamu tuliopewa japo tunaidharau licha ya faida yake katika maisha yetu.
Kuna sababu kadhaa za kwa nini watu hawatumii matunda mara kwa mara , baadhi ya hizo ni Kutokujua faida ya matunda kiafya, na Ukosefu wa uwezo wa kumudu gharama za kula matunda mara kwa mara.
Ikiwa wewe ni miongoni mwa watu wanaoshindwa kutumia matunda kwa moja ya sababu hizi basi taarifa hii inakuhusu na uyajue matunda yenye gharama nafuu sana wakati huo huo yakiwa na faida tele kiafya kwa mwili wako.
Haya ni matunda matamu sana ,rahisi sana kupatikana na yenye faida nyingi mno kwa afya yako.Matunda hayab hupatikana kwa wingi bila gharama kubwa mfano kwa wale waliofika Morogoro na Tanga wanajua uwingi wa matunda haya. kama hujui tazama virutubisho muhimu sana viliyomo katika machungwa.
Vitamin C __________________ 93%
Fiber __________________ 13%
vitamini B1 __________________ 9%
Pottasium __________________ 7%
Calcium ___________________ 5%
Na virutubisho vingine vingi sana huku vikiwa na faida muhimu zaidi ikiwemo:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.