Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1508598473390.jpg
 
Husaidia seli na tishu mwilini kwa vitamini c iliyomo katika tunda hili suala linalopelekea kujengwa kwa sehemu muhimu ya protini iitwayo COLLAGEN ambayo huimarisha mishipa ya damu,ulinzi wa ngozi,ogani na mifupa mwilini.
 
PARACHICHI



Parachichi ni tunda rahisi sana kupatikana hasa sehemu za baridi. Watu wanaoishi maeneo haya wana ushahidi juu ya hili.Huuzwa nchi nzima kwa bei ndogo na ya kawaida kabisa huku likiwa na faida kubwa sana kiafya.Baadhi ya virutubisho muhimu
 
vinavyopatikana kwenye tunda hili ni;

Vitamini K __________ 26%
Folate __________ 20%
Vitamini C __________ 17%
Potassium __________ 14%
Vitamin E __________ 14%
Vitamin B5 __________ 14%
Vitamin B6 __________ 13%
 
Kwa orodha ya virutubisho hivyo hapo juu Parachichi litasaidia sana mwili wako kurekebisha msukumo wa damu, Tunda hili lina 77% ya protini kitu kinachofanya tunda hili liwe mmea wenye protini kuliko mwingine wowote ule.Husaidia macho kuona vizuri zaidi, zaidi husaidia nywere na ngozi yako, Na faida nyingine nyingi sana.Hauna budi kutumia parachichi mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom