Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni tunda nzuri kwa wagonjwa wa kisukari.Papai lina kiwango kidogo cha sukari(8.3 gram kwenye kikombe cha papai zilizokatwakatwa vipande vidogo).Juisi yake ni nzuri sana kwa sukari huku ikiwa na Vitamini nyingi zenye kusaidia mgonjwa wa sukari kuepukana na magonjwa ya Moyo.
 
EMBE




Tunda hili ni maarufu na rahisi sana upatikanaji wake huku likiwa na bei ya kawaida sana.Maeneo kama ya mubende, kampala, Tommy, kent,mashamba ya Capsicum ,Embu ishiara ,karurumo,Tabora, Tanga, Morogoro, Kigoma, na maeneo mengine mengi sana ya Afrika mashariki,
 
Back
Top Bottom