shauri dawa ipi ya asili au nyingine inayoweza kutumia ili kuyeyusha uvimbe kwenye mfuko wa uzaziAnapohisi maumivu wakati wa kujamiiana, inaweza kuwa dalili ya matatizo makubwa kama vile Uambukizo katika Mfuko wa Uzazi (PID), uvimbe tumboni (Fibroid), kugandamana kwa via vya uzazi (pelvic adhesions) au kuota kwa misuli ya mfuko wa kizazi sehemu zingine za mwili (Endometriosis). Mambo hayo yanaweza kusababisha mimba kutunga nje ya kizazi au mwanamke asipate ujauzito.