Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NI WAPENDA NGONO
Watu wenye damu kundi hili wana hisia kali sana za mapenzi hii ni kutokana wana homoni nyingi, hali hii inawapelekea kupenda sana ngono na vile vile huwa wakizaa wanafana sana na watoto wao iwe sura, tabia au mwendo iwe mwanamke au mwanaume hasa wale wenye kundi ‘O’ chanya.
 
Sasa kutokana na tabia hizo huwapelekea kutodumu na wapenzi kutokana na tabia zao za kupenda ngono kutokana na hali hiyo kama mtu asipojikaza anaweza kukiuka maadili kwani wao ngono kwao wanaona ni kitu muhimu sana hii ni kutokana kupelekeshwa na hisia kali walizonazo.
 
KUTIA/KUSHIKA MIMBA

Tabia nyingine ya watu hawa kwa wanaume wanapofanya mapenzi basi ni rahisi kwa mwanamke anayefanya naye mapenzi kushika mimba au mwanamke mwenye damu kundi hili pia anapofanya mapenzi na mwanaume ni rahisi kushika mimba na sababu kubwa ni kwamba damu zao huwa ni kali sana(zina nguvu) labda mmoja wapo awe na tatizo au damu zisiingiliane (zisipatane) ingawa kwa watu wenye kundi hili ni mara chache sana damu zao kutopatana na makundi mingine ya damu haswa wale wenye (O Negative) kutokana wao ni wachangiaji wakubwa wa makundi yote ya damu (Universal Donor) au labda awe na matatizo ya mbegu za kiume kutokuwa na kasi
 
AKILI/UFAHAMU

Na tabia yao nyingine watu hawa ni wepesi kuelewa na kutafsiri mambo labda mtu awe na matatizo ya kiakili au hitilafu katika ubongo yaliyotokana na sababu mbalimbali, ila wana udhaifu wa kupuuza na kutokufuatilia jambo (hawajali) na ni rahisi kuwakamata na kukueleza siri zao hasa ukiwabana wakati wanaomba au wapo kwenye tendo la ndoa yaani kwa ujumla wana asili ya kutokuweka siri au kitu moyoni hali inayowapelekea kuitwa wambea au waongo.
 
UHUSIANO NA WATU WENYE KUNDI A

Watu wenye damu kundi hili wanao uwezo wa kujenga uhusiano na watu wenye damu kundi lolote, lakini wanawapenda sana watu wenye damu kundi ‘A’ lakini kutokana na kupishana tabia zao huwa wakikaa pamoja kwa muda mrefu hawakawii kukwaruzana lakini baadaye kila mmoja anamkumbuka mwenzake.
 
UHUSIANO NA WATU WENYE DAMU KUNDI B

Mara nyingi watu wenye damu kundi ‘O’ wakikutana na watu wenye damu kundi B wanakuwa wazi kuelezana hisia zao, lakini cha ajabu watu wenye damu kundi ‘B’ huwa hawatafsiriki kutokana na pozi zao kitu ambacho watu wenye damu kundi ‘O’ wanachanganyikiwa kuwaendesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…