Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
UHUSIANO NA WATU WENYE DAMU KUNDI AB
Mashaallah hawa ndiyo watu wao sahihi katika maisha kwa sababu fikra zao za maisha na matendo yao yanafanana, kwa sababu wote wanapenda maendeleo, wako wazi, hawafichi jambo hawana kinyogo na hawajali mambo madogomadogo.