Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0eaf47a54595a7365b59ef7e36a98747.jpg
 
1.HAWAPATI MARADHI KIRAHISI

Kwanza ifahamike kuwa watu wenye damu kundi hili wamegawanyika mara mbili ambazo ni damu kundi ‘O’ chanya (O positive) na kundi ‘O’ hasi (‘O’negative) mgawanyo huu umetokana na mgawanyo wa kitaalamu ambao huitwa ‘rhesus factors’ ambao ndio unaotumika kugawanya makundi ya damu.
 
Kwa ujumla kundi hili la damu liwe hasi au chanya halina ‘proteins’ maalumu zilizomo ndani ya damu ambazo huitwa ‘antigens’ ambazo mara nyingi ni rahisi kushika magonjwa isipokuwa lina ‘antibody’ ambazo ndizo kinga za mwili zinazopambana na maradhi, ndiyo maana damu kundi ‘O’ linaitwa ‘Universal Donor’ damu kundi lolote linapokea .
 
Na kwa wakati fulani maradhi yanayowasumbua watu wenye damu kundi hili ni malaria, kichwa na mafua na wengine husumbuliwa sana na ugonjwa wa kutoka damu za pua (Rhinits), au wengine huita kambako ambao husababishwa na kula nyama yenye lehemu nyingi (cholestrolel) ambazo ni nyama ya Ng’ombe, kondoo, samaki aina ya dagaa, uwono na mboga ya majani inayoitwa kisamvu na wakati mwingine maziwa ya ng’ombe au kutembea kwenye jua kali sana au kutumia manukato yenye harufu kali.
 
Back
Top Bottom