Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hujionyesha kwa maumivu makali katika goti moja au kidole gumba cha mguu. Cherry safi sana. Vichache katika kasha huanzia £2 (Shilingi 5,000).
Strawberry- Stroberi kiwastani huwa aghali. Msimu yanapopungua bei ni wakati wa baridi (Desemba-Machi) yanaposhuka toka shilingi 7,000 hadi 5,000.
 
Bei hizi hufuatana na wapi unaishi, maduka makubw ana madogo , nk
Kawaida sehemu tunazoishi Watanzania , kama mitaa ya Mashariki ya London kuna unafuu wa bei za vyakula na matunda shauri wakazi wengi hapa pia ni Wahindi wenye maduka ya bei nafuu kuliko ya yale makubwa makubwa ya Kizungu.
 
Matunda yote yenye mbegu dani (Berries) kama Cranberries, Blue Berries, Blackberries- siku hizi hupatikana katika juisi zinazotengenezwa bila sukari nyingi. Nadhani tatizo kubwa la nchi Afrika ni kutengeneza juisi za matunda zilizojaa maji na sukari zaidi kuliko matunda.
 
Bei rahisi ni ndizi mbivu (toka visiwa vya Carribbean – na zingatia Matoke ya Uganda ni aghali sana- kichani kimoja kinaanzia shilingi elfu saba!), matufaha (matunda rasmi ya Kizungu), machungwa na machenza, Kiwi (yale matunda ya kijani toka New Zealand), zabibu, mapea (pears ), mapera, nk
 
Mapapai na Maparachichi.
Ni muhimu kuzingatia kwamba matunda yanatakiwa kuliwa yakiwa katika kitengo kimoja- yaani chachu (“acid”), asidi au alkali (“alkaline”). Matunda hayo ya chachu ni maembe, mananasi, machungwa, zabibu, Kiwi, nk; ambapo alkali ni matikiti maji, ndizi mbivu, tufaha, mapea, Strawberry nk.
 
Matunda chachu (“asidi”) yanatakiwa yaliwe pamoja…

Mapapai na Maparachichi yanaangukia katika mkondo wa “alkali” na moja ya matunda yaliyowekwa katika Vyakula Vyenye Nguvu kuliko vyote (Superfoods) . Matunda hayo ni Machungwa , Kiwi, Papai, Parachichi. Vyakula hivi via faida sana mwilini.
 
Back
Top Bottom