mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AminaNa tuchukue muda wetu mchache kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufanya miongoni mwa wale waliyoiona siku ya leo
AminaNa tuchukue muda wetu mchache kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutufanya miongoni mwa wale waliyoiona siku ya leo
AminaKuna wenzetu kadhaa ambao nao walitamani kufika siku hii, lakini kwa majaaliwa yake Mungu alisitisha maisha yao
AminaNa tumshukuru Mungu hata kama siku iliyopita tulikwazika kwa mambo furani furani ya kimaisha
AminaTumshukuru na tumuombe yeye MUNGU atuangazie NURU kwenye siku hii, ili kuyashinda majaribu yote ya shetani aliyelaaniwa
AminaYeye Mwenyezi Mungu na ayafanye kuwa mapesi yale mazito yaliyotutatiza huko nyuma
Na kwako mkuuAsubuhi njema
Vidumu mileleAmani na upendo
Kama kawaidaWeekend inaendelea
08:4106:08
Utu moyoniAmani moyoni
Same 2 U
Wimbo mzuri sanaHARUFU [emoji5] [emoji5] [emoji5]