mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Usikose jioni. Somo litakuwa zuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hali ilivyongumu umkope mtu halafu usilipe weeeee
Njema Mzee wa liverMkuu habari za Jumapili
Pole kwa matokeo ya jana
Ni mbinu za kisaikolojia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa mambo ya sumbawanga
Huku salama kabisa Cole[emoji5]Asante Dear JAKITOO
Habari za hapo ulipo?
COLEWORLDLOVESYOU
IndeedMuhimu sana [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mungu ni mwema hapa nilipo shwari kabisa, umeamka lakini?Huku salama kabisa Cole[emoji5]
Za kwako?
Mkoromije hulali? Lala basi mpenziMuhimu sana [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Huyu mtabiri alikuwa wapi kutabiri kabla ligi haijaanza?
Hahahahaha kwa kweli Mimi sitahudhuriaUsikose jioni. Somo litakuwa zuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]