Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hulali?Ngoja niongeze bidii ya kukutega na vitu vizuri! Mpaka kuje kukuche leo kitakuwa kimeeleweka! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Hulali?
Simu za hawa jamaa huwa ni nzuri ukilinganisha na Samsung na iPhone?
Kumbe "umekata"[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niongeze bidii ya kukutega na vitu vizuri! Mpaka kuje kukuche leo kitakuwa kimeeleweka! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Leo uko night shift?Hulali?
Nahisi upweke sana leo sijui kwa nini. Siyo haki ya kawaida. Pray for me [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Leo uko too deep ujue?
Leo kwa kweli hata sijui kinachoendelea...Leo uko night shift?
Unajua nakuombea kila siku[emoji120][emoji120][emoji120]Nahisi upweke sana leo sijui kwa nini. Siyo haki ya kawaida. Pray for me [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nalinda zizi langu. Siwezi kulala vizuri wakati umepaki semi trailer hapo nje limejaa mvinyo mwekundu na marobota ya roses. Ukiita tu Jakitoo, nakuvaa laivu....Na wewe mbona hujalala? [emoji23][emoji23]
Jaribu kulala bhana maana usingizi wa kukesha si mzuriLeo kwa kweli hata sijui kinachoendelea...
Amen shemeji.Unajua nakuombea kila siku[emoji120][emoji120][emoji120]
Hiyo hali ishindwe kwakweli
Kume "umekata"[emoji23][emoji23][emoji23]
Ongeza bidii baba
Hiki cha pili ni kizuri duh!