Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Hiki cha pili ni kizuri duh!
[emoji23][emoji23]
Hiki cha pili ni kizuri duh!
Nikuletee vile vitambaa au blanket zito likukumbatie?Amen shemeji.
Ila urafiki ndio msingi wa kila mahusiano,na mahusiano ukitaka yawe mazuri muwe marafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bila kujijua mtu unajikuta ushageuzwa rafiki (friendzoned) na ishakula kwako...Inaumaaa !!!
![]()
Inategemea...You can be friendzoned forever ohooo !!!Ila urafiki ndio msingi wa kila mahusiano,na mahusiano ukitaka yawe mazuri muwe marafiki
Nasema tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]