Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Ukweli tupu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 614393muwe na siku njema nyote
Hapo ndo utajuwa kwamba mungu hawezi kupeni vyote, tumepewa mali lakini akili finyu,, haha ha haaaaAfrika imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi.
Takribani vyakula vyote tunavyohitaji wanadamu hupatikana bara hili. Lakini pamoja na hayo uhai wetu mfupi kuzidi wengine duniani.
Eve 1 Ars 0 dakika ya 11Mchapo wa kwanza kati ya Arsenal na Everton unakaribia kuanza. Hii mechi Arsenal inastahili kushinda at least 3-0 lakini kama tuwajuavyo Arsenal wanaweza kuuza mechi nyingine muhimu na hivyo kupoteza 3 points. Mchapo huu utafuatiwa na mchapo mwingine wa nguvu kati ya l’pool na Spurs. Si ya kukosa michapo hii.