Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna kisa kimoja hivi back then
Kuna binti niliwaigi kuwa nae, nikiwa nashangaa mimi kadri ninavyo kuwa muwazi kwake ndo kutokuelewana kunazidi nikawa najiuliza suluhu ni nini.
Nilipoanza kuwa namuongopea mambo yakawa fresh sasa mpaka nikawa nashangaa kwanini anakubali na kurahia uongo kiasi kile
(SIO MIMI NI STORY)

COLEWORLDLOVESYOU
Yaani nimependa hapo kwenye mabano maana panakinzana na sentensi ya pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tapatalk_1505541476931.jpeg
 
Back
Top Bottom