Man City wanatisha. Mpaka msimu huu ukaishe lazima kuna mtu atakula 10 kavu. Hovyo kabisa !!!Kuna tetesi aliyeipokea barua alidhani ni kakitu ka kutunzwa kwenye dastubin labda muandike nyingine kwa email mtaeleweka hahaha
Man City wanatisha. Mpaka msimu huu ukaishe lazima kuna mtu atakula 10 kavu. Hovyo kabisa !!!
Man City wanatisha. Mpaka msimu huu ukaishe lazima kuna mtu atakula 10 kavu. Hovyo kabisa !!!
Familia ya JF
!!!!????Posti kumi,, likes moja!!!!
Kuna watu wanaposti mpaka kumi..hawatoi likes hata moja mkuu!!!!????
Mkuu wapi hiyo, mbona hivyo mtu wetu , umetukimbia kimya kimya Jamni!!!!!naona mnakula tu likes kwa rah zenu