Tena! Pole yao wazee wa kubeti.Mikeka mingi leo imechanika
Amun Ra (AR)Nani mkuu
Hawa Totenham sijui hawana adabu kabisa. Hasa yule Hurricane i.e Harry Potter KaneLikes za asbh
Teh teh tehHawa Totenham sijui hawana adabu kabisa. Hasa yule Hurricane i.e Harry Potter Kane
Kwa sasa hawa Eibar usiku huu wafanye unimaginable kwa kuwafubga kimoja tu Real Madrid. Then wapaki basi kama la Mou pale OT