Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1508573660331.jpg
 
Kulea mimba si kazi, kazi Kulea mwana
Ni kweli kulea mimba si kazi? Mi naonaga kama ndiyo kazi ngumu kuliko zote - hasa ukute yule ambaye imemkataa kataa. Kutwa kutema mate, kufakamia maudongo na gubu 24/7....Heshima kwenu akina mama [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom