Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-22-22-42-34.png
 
Tubet hapa,aseno ikishinda nakupa likes mia za fasta fasta ila man city ikishinda unasamehe deni la mahari unayodai kwa akina nanilii hahahahaa
Nimoooo! Nasamehe deni la Andjul kwa Nsamaka au nakubali mahari ipotee kwa Carba siku akiachika/akiacha?

Novemba 7 (tarehe nimepatia?) utagonga likes mpaka vidole viwake moto. Likes 100 za fasta fasta siyo mchezo ohoo. Fikiria vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom