Kweli mkuuhii timu hata haileweki kwa sasa inaanza kuwa kama Arsenal.
HahahahahaYumo humu huyu ana roho ya paka 🙂🙂 Hata wakichapwa lazima azuke humu. Kama mimi vile na midabwada yangu ya Arsenal 🙂🙂🙂
Wacha nimsubiri HARUFU atupie mambo yetu nipate farajaYumo humu huyu ana roho ya paka 🙂🙂 Hata wakichapwa lazima azuke humu. Kama mimi vile na midabwada yangu ya Arsenal 🙂🙂🙂
Wacha nimsubiri HARUFU atupie mambo yetu nipate faraja
Kabisa mkuu hili nakubaliPole sana Mkuu ndiyo ukubwa huo siku zote kumbuka ukitaka kula lazima nawe uliwe.