Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
I hope itakuwa arsenalMan City wanatisha. Mpaka msimu huu ukaishe lazima kuna mtu atakula 10 kavu. Hovyo kabisa !!!
HahahahahaTena hio kumi aseno mtaila maana man u walishawachapa 8
Bonge la mechi kabisaSiku ya kukutana MC na Spurs itakuwa burudani haswaa!
I hope itakuwa arsenal
Mkuu nilishawapotezea mida sana Mimi nagonga likes tu kwa kila postKuna watu wanaposti mpaka kumi..hawatoi likes hata moja mkuu
Kweli mkuu acha kabisa nimepoteza pesa kwenye Forex wiki hii Na kwenye betting acha kabisa Niko fire Vat 69 hata hainisaidii leoMikeka mingi leo imechanika
Hurricane hovyo sanaHawa Totenham sijui hawana adabu kabisa. Hasa yule Hurricane i.e Harry Potter Kane
Kweli mkuu acha kabisa nimepoteza pesa kwenye Forex wiki hii Na kwenye betting acha kabisa Niko fire Vat 69 hata hainisaidii leo
HahahahahaKwa sasa hawa Eibar usiku huu wafanye unimaginable kwa kuwafubga kimoja tu Real Madrid. Then wapaki basi kama la Mou pale OT