mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kabisa mkuuKushindwa ni sehemu ya mchezo, ispokuwa yule kocha ana maswali ya kujibu
Zege halilaliUdongo uwahi ungali maji
Hasa mamaUchungu wa mwana aujuaye mzazi
Mwenezi wa CCMPolepole ndiyo mwendo
Na zako piaLikes zetu
Na zako piaPost zetu
YapTamaa mbele Mauti nyuma
Na kwako piaJumatatu njema
Siku hizi inavuta bhangiSubira yavuta Heri
TeteheteteSiku utayotembea uchi Ndio siku utayokutana na mkweo
Biashara asbh jioni mahesabuSiku njema huonekana asubuhi
Baniani mbaya kiatu chake dawaSikio la kufa halisikii Dawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamia Arsenal
Furaha yetuVicheko vyetu
Inawashia kwenye mdomoPilipili ya shamba ya kuwashia nini
Uzeee busaraPenye wazee haliharibiki neno