Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiache mbachao kwa msala upitao
tapatalk_1508750352363.jpeg
msala kama huu mbachao nini bhana
 
Jaribu jibapa...On a serious note, pole sana. There is always tomorrow (kwenye Forex). Huko kwenye kamari (betting) no comment.

Kuna jamaa hapa alikuwa ananiambia kuwa ana mbinu bullet proof ya Forex hakuna kupoteza pesa. Ni stori tu au inawezekana kweli mtu akawa na ujanja huo hasa ukizingatia utata wa biashara yenyewe?
Kupoteza pesa kwenye ni nadra sana kama umemaster skills zote na kwenda ni kipindi yaani news za kila muda tweet moja ya trump inaweza kukuacha solemba
 
Back
Top Bottom