mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good afternoon Mtwara
Kweli kabisaKulea mimba si kazi, kazi Kulea mwana
Kuuliza si ujingaKupotea njia Ndio kujua njia
Respect sana mama zetuNi kweli kulea mimba si kazi? Mi naonaga kama ndiyo kazi ngumu kuliko zote - hasa ukute yule ambaye imemkataa kataa. Kutwa kutema mate, kufakamia maudongo na gubu 24/7....Heshima kwenu akina mama [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahahaha
Yap chemical formula yetuToa likes nawe upate likes
AiseeeeNani kanyonyolewa leoo 4-1
Hahahahaha unarudia Mara kumiNani kanyonyolewa leoo 4-1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli yako mwombee njaaKipigo kimenisahaulisha machungu ya 2-1
4-1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tubet hapa,aseno ikishinda nakupa likes mia za fasta fasta ila man city ikishinda unasamehe deni la mahari unayodai kwa akina nanilii hahahahaa