Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

11.Jipangie mikakati ya kustaafu tajiri kama umeajiriwa.Jambo alilozungumzia hapa ni swala la kuwa na vitega uchumi vingi ambavyo hata ukistaafu utakuja kuendelea navyo kuliko kustaafu na kuja kukaa nyumbani huna cha kufanya.Hapa ndo msongo wa mawazo unaanza na magonjwa yanaanza kuwa mengi na hatimaye kifo kinakukuta mapema kabisa
 
15.Kama unataka kuwa tajiri fanya wafanyayo matajiri.Usijidanganye kuwa unaweza kuwa tajiri kwa kulala mpaka saa tatu au nne asubuhi,kukesha kuywa nzima unaangalia TV na kupoteza muda mwingi kupiga majungu kijuweni.Ili ufanikiwe unapaswa uchape kazi kwa bidii na kwa malengo thabiti.
 
20.Usikwepe majukumu hata kama mshahara wako ni mdogo.Watu wengi wenue viparo vidogo wamekuwa wakikwepa majukimu bila kujua kuwa kwa mshahara huo mdogo wanaweza kuubajeti na kukidhi majukukumu mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku.
 
Kha!

22582550_284002812089044_488969042963464192_n.jpg
Miaka kama 20 ijayo!!!
 
Back
Top Bottom