Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijambo sijui wewe
Ukizeeka nitafute nije kufuata pesa yako[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaaa... Nitahakikisha pesa yangu naitafuna yote ndio nazeeka! Nabakiza ya kununulia dagaa tu na dona kwa ajili ya mlo wangu wa kila siku, wakati nikisubiri kwenda kuanza maisha mengine baada ya haya niliyonayo kufikia ukingoni. [emoji23][emoji23]
 
Ha ha haaaaa. Hatujuani lakini naona vu bin vu leo hii. Nadhani lengo lake ndo hilo. Intavyuu ya Alibakari aka kitu cha Kingston aka Mr. Alfonso ilikwendaje jana?
Usiniambie kama utakubali[emoji23][emoji23][emoji23]maana nitakuwa offline mwezi mzima,usiniulize kwanini
Ilikuwa poa nafikiri japo sikufuatilia neno kwa neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…