Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Pamoja sana KiongoziSalute mkuu
TONI ni Bomba sana.Bomba sana
Wakati huu wa Trump bado zinaendelea hizi? Nilisikia wamestopisha !!!
Kusema ukweli mimi Mlimbwende akiwa na Nywele fupi kama hizo huwa ananipagawisha sana.Kabisa mkuu umenikumbusha mbali hizo nywele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiongozi kuna Mtindo wa Nywele unaitwa JANET JACKSON?Nakumbuka wadada wengi sana waliiga mtindo wa nywele zake