Msumari solange..Mdogo wa LADY B wa kuitwa SOLANGE nae hakubaki nyuma.
Amesuka mtindo wa kuitwa JANET JACKSON, au ukipenda Mtindo huu unaweza kuuita POETIC JUSTICE.
![]()
Solange Knowles Kisu cha maana Kiongozi.Msumari solange..
Nimsumari ila qeen b amesimamia kucha mkuu..Solange Knowles Kisu cha maana Kiongozi.
Mtu Mzima HOVA hapo uzalendo ulikuwa unamshinda, sema alikuwa anajikaza tu ili Solange aonekane ndie mwenye Udhaifu na ukorofi😀.
Solange Mkali sana kuliko hata DADA yake
😀😀😀😀😀.Nimsumari ila qeen b amesimamia kucha mkuu..