Msumari solange..Mdogo wa LADY B wa kuitwa SOLANGE nae hakubaki nyuma.
Amesuka mtindo wa kuitwa JANET JACKSON, au ukipenda Mtindo huu unaweza kuuita POETIC JUSTICE.
Solange Knowles Kisu cha maana Kiongozi.Msumari solange..
Nimsumari ila qeen b amesimamia kucha mkuu..Solange Knowles Kisu cha maana Kiongozi.
Mtu Mzima HOVA hapo uzalendo ulikuwa unamshinda, sema alikuwa anajikaza tu ili Solange aonekane ndie mwenye Udhaifu na ukorofiπ.
Solange Mkali sana kuliko hata DADA yake
πππππ.Nimsumari ila qeen b amesimamia kucha mkuu..