Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakushauri tu ubaki makapuku acha kuleta mifarakano hapa. Awe ni yeye au sio yeye sie haituhusu. Please leave him alone. Mbona wenzio wastaarabu sana na wapo forum yao hata wakija huku wanachat kistaarabu
Hahaaa nimeguatilia post za jembekillo zote na zakwako zote..
Tone zenu za uandishi ni mmoja na kunasehemu umeniambia NASHUKURU kwa kumkumbuka Jembekillo its means that ur him
 
Hahaaa nimeguatilia post za jembekillo zote na zakwako zote..
Tone zenu za uandishi ni mmoja na kunasehemu umeniambia NASHUKURU kwa kumkumbuka Jembekillo its means that ur him
Mkuu na show love tu kwa kuleta uzi makini rudi tena fatilia mwandiko huo.
Ataushikaji wa pen tunatofautiana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…