mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Real JJ
Mtindo maarufu sana
Hii ngoma Kali sana mkuuKibao yake hiyo ya kuitwa Knock you down yupo na KANYE
Mia miaHiki Kibao sijawahi kukichoka hata siku moja.
Hiki Kibao huwa kinaniingia kupita maelezo.
Kimetulia sana
HahahahahaQueen Beyonce na ngoma ya hold up unaeza ukanywa nayo chai!!
Hila mkuu Queen B ni Shida kwa muziki Na ubeautySorry
Kitu natural beautifuly..
Alipiga na nani vileKwenye dilema alisimama vizuri sana..
Yap NellyNa NELLY.
Walitulia sana
Nelly chini ya Bad boys Records.Hahahahaha
Uyo muhenga yuko wapi.
Watu wanalilia maendeleo lakini hawaonyeshi kuchukua hatua. Mfadhili anatumia baiskeli kwa msafara wa mtu mmoja, mfadhiliwa analeta mbwembwe kwa pesa ambayo ilistahiki kujenga shule, hospitali , madaraja nk