mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
12:02likes za mchana zinaendelea
12:02likes za mchana zinaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Cc. Carba, Nsamaka and other skinny girlz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati mwingine mtu unatenda wema mpaka unashindwa kwenda zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tenda wema uende zako
Nzuri my lovely princess huko poa lakiniUuuuhhhh am back.
Jamani hodiiiiiii humu ndani, habari za siku nyingi.
Watu wamechoka kulike upuuzi
hapo unangoja fadhila....Wakati mwingine mtu unatenda wema mpaka unashindwa kwenda zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lila na fila hazitenganimwenda tezi na omo marejeo ngamani..
Ndondondo si chiruruhaba na haba hujaza kibaba
Kwema kabisa joto lilipanda sana lakini sasa naona limeshuka at least hali ya hewa ya Dodoma imerudi kama kawaidaHabari njema mkuu. Idodomya kwema?
Hajambo kabisa diaAsante, nilikumis pia.
Kaka yangu hajambo?
Pamoja mamito karibu kwenye malikesSijambo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mi sielewi mkuu. Alibakari naye akija hapa amepuliza cha Kingston halafu umuombe kutafsri ni shida tupu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaweza kuwa fupi pia.....maisha ni safari ndefu...
Kushuka ni Majaliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unapita tu eeeeh!? Haya bana. Pita salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yapmchana ndio huu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha tuu ngoja nisome upya narudi kudadavua bossZimefikaje 81? Hebu nidadavulie - hata kwa siri. # 1 umescore ngapi? Makofi yanakuhusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unakuwa unangoja mrejeshoWakati mwingine mtu unatenda wema mpaka unashindwa kwenda zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shujaadunia hadaa, ulimwengu.....
Nimeshamuona. Huwa anapotea sana...Halafu status yake kwa sasa siijui. Bado yuko kwa Andjul au alishahamia kwa KK, Bob au Moudgulf? What is going on?Hajambo kabisa dia
Yupo humu sahv anagawa likes
Ngoja nimuite.... SYB hani[emoji350] , dada kaja