carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Dalili hizi zinaweza kuonekana sehemu mbali mbali za mwili na inategemea na kiasi gani umeathiliwa na tatizo hili.wengine wanaweza kuwa na matatizo madogo madogo ila wengine inawapelekea hadi ulemavu.
Watu wengi wenye mtindio wa ubongo huwa wanapata matatizo kama kifafa wakati mwingine pia kushindwa kutafuna na kumeza chakula, kutoweza kuongea ( dysarthria) , kupata choo kigumu au kwa shida( constipation), kutoweza kuzuia mkojo kutoka( urinal incontinence) , matatizo ya kuona na kusikia, matatizo ya kiunzi( skeleton) kama kupinda kwa uti wa mgongo ( curved spine) , mifupa kukaa sehemu tofauti kama mfupa wa paja( hip dislocation). N.k.