cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,417
Najituliza kwake kasuku .....Arap moi
Kaka umeanza sasa, unanikaribisha kwa mabango hahaha.Nimeshamuona. Huwa anapotea sana...Halafu status yake kwa sasa siijui. Bado yuko kwa Andjul au alishahamia kwa KK, Bob au Moudgulf? What is going on?
Alikua anakula embe kwa chumvii.
Naliho kaka, napelile gete.Nipo bageshi. Wapelile amagulu gako nkoyi?
Mh!sizonje...faru jonii..
Jumatatu inakimbia