myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kweli..jumanne inakimbia...Mbona leo ni jumanne
kweli..jumanne inakimbia...Mbona leo ni jumanne
Ni mchoro au ni laivu? Kama ni laivu lazima katakuwa kahaya haka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee katoa copy nilizani kasingiziwa..
Pesa bin fedhaa vs. Siksi pack gym....
Beef, una utani na Le Mutuz? Anyway, I am humbled you know [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahaaaaaaaBeef, una utani na Le Mutuz? Anyway, I am humbled you know [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa ni mshindiPesa bin fedhaa vs. Siksi pack gym....
Seba Akujiwe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]. Nayega nkoyi !!!Naliho kaka, napelile gete.
Fokasi yangu ni mahari si jingine. Wasije wakawa wamejibebea kimya kimya. Wajitokeze hadharani watoe mahari. That's all my lovely sis...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka umeanza sasa, unanikaribisha kwa mabango hahaha.
Afadhali umesema ukweli. Hata signature yako ina mwelekeo huu huu. Safi sana !!!Pesa ni mshindi
Nakusalimu shemejiFokasi yangu ni mahari si jingine. Wasije wakawa wamejibebea kimya kimya. Wajitokeze hadharani watoe mahari. That's all my lovely sis...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]sizonje...faru jonii..
Huyu ndo yule miss tz aliyepewa gari ya matangazo kama zawadi?
Ndio MwenyeweHuyu ndo yule miss tz aliyepewa gari ya matangazo kama zawadi?
Marahabaaaaa! Kwema huko lakini? Tumshukuru Mungu wetu mwema Anayetupenda upeo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nakusalimu shemeji
Hayo macho yake sasa. Ni shiiiiiidah [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Huyu ndo yule miss tz aliyepewa gari ya matangazo kama zawadi?